MADAI YA UTAPELI

  • | KBC Video
    9 views

    Raia wawili wa Italia wanaotuhumiwa kuwalaghai wenzao kutoka nchi hiyo shilingi milioni-32 kwa kisingizio cha kuwauzia nyumba wamewasilisha ombi mahakamani wakitaka kesi hiyo itupiliwe mbali kwa misingi kwamba mahakama haina mamlaka ya kusikiza kesi hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive