Madakatari wa figo wanashinikiza mswada unaotizamia kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huo kupitishwa

  • | Citizen TV
    377 views

    Muungano wa madakatari wa figo nchini unalalamikia kucheleweshwa kwa mswada unaoazimia kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huo.