Madakitari wanajilindaje na maambukizi ya virusi vya corona?

  • | VOA Swahili
    Wahudumu wa afya wamekuwa mtari wa mbele katika mapambano dhidi ya virusi vya corona. Swali ni kwamba wanajilinda je na ugonjwa huu wakati wao ndio wanaowahudumia wagonjwa?