Madaktari Kakamega waelekezwa kuripoti kazini

  • | West TV
    99 views
    Madaktari wote kaunti ya Kakamega wanaoshiriki mgomo wana saa kumi na mbili kuripoti kazini la sivyo watafutwa kazi.