Madaktari na wauguzi walijitokeza kuwapa tiba ya bure waandamanaji kufuatia maandamano

  • | K24 Video
    8 views

    Madaktari na wauguzi hii leo walijitokeza kuwapa tiba ya bure waandamanaji jijini Nairobi. maandamano hayo ya kizazi cha Gen Z yanayopinga mswada wa fedha wa mwaka wa 2024 yalikuwa ya aina yake hii leo, wengi wakionyesha ubunifu na usanaa wao katika kueleza malalamishi yao. Vijana hao pia wametumia mitandao mbalimbali hadi ile ya kuigiza walkietalkie ili kuwasiliana na kuhepa maafisa wa polisi.