Madaktari Nairobi waendelea kugoma kwa siku ya 16 leo

  • | Citizen TV
    Ni siku ya 16 leo tangu kuanza kwa mgomo wa madaktari wa kaunti ya Nairobi na bado hakuna mwafaka uliopatikana hadi sasa. Baadhi ya Madaktari 255 wanaogoma tayari wameanza kupokea barua za kuwasimamisha kazi.