Madaktari nchini waapa kuendelea na mgomo wao

  • | Citizen TV
    629 views

    Mgomo wa madaktari umeingia siku ya 10 huku zaidi ya madaktari 200 kutoka eneo la Mlima Kenya wakiapa kuendeleza mgomo huo hadi pale matakwa yao yote yatimizwe. Wakati huo huo waziri wa Afya Susan Nakhumicha amedai kwamba makundi yanayohusika na ufisadi katika sekta ya Afya, ndiyo yanadhamini mgomo wa madaktari unaoendelea.