Madaktari wa kaunti ya Busia waliokuwa wakigoma wasitisha mgomo wao

  • | Citizen TV
    224 views

    Madaktari katika kaunti ya Busia hatimaye wamesitisha mgomo wao baada ya kususia kazi kwa wiki moja. Naibu gavana wa kaunti hiyo Arthur Odera amesema kuwa mgomo huo ulisitishwa baada ya makubaliano na viongozi wa wahudumu wa afya. Aidha wahudumu wa afya waliokweenda kwenye likizo ya masomo wameagizwa kurejea kazini ili kuhakikisha kuwa wahudumu wa afya wa kutosha.