Madaktari waasitisha mgomo Kakamega

  • | Citizen TV
    40 views

    Madakatari katika kaunti ya Kakamega wamesitisha mgomo wao baada ya kutia saini mkataba wa makubaliano na serikali ya kaunti hiyo.