Madaktari waitaka serikali kujiandaa vilivyo ili kupambana na ugonjwa wa Ebola

  • | KBC Video
    69 views

    Taifa hili bado halija-jiandaa vya kutosha kupambana na ugonjwa wa Ebola. Kutokana na hali hiyo Ma-Daktari ambao ni wanachama wa chama cha kitaifa cha Ma-Daktari, wauzaji wa madawa na watalamu wa tiba ya meno-(KMPDU), wameitaka serikali kusawazisha mifumo ya utenda-kazi katika taasisi zote za afya ili kuhakikisha kisa chochote kinashughulikiwa haraka pindi kinapogunduliwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ebola #DiraYaMagwiji