Madaktari wamerejea kazini lakini kilichowapeleka mgomo hakijatatuliwa, kwa nini? | Mduara

  • | NTV Video
    397 views

    Ni afueni kwa wakenya kwani madaktari wamerejea kazini. Lakini cha kushangaza ni kwamba, kilichowapeleka kwenye mgomo hakijatatuliwa, kwa nini?

    Wahariri na wanahabari wa #NMG waangazia hili kwa undani na urejeo wa wanafunzi shuleni kwenye #Mduara

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya