Madaktari wametishia kususia kazi kuanzia Mei 9

  • | KBC Video
    41 views

    Madaktari humu nchini wametishia kusitisha utoaji huduma zao kuanzia Mei 9 mwaka huu, iwapo serikali itakosa kuangazia kile walichokitaja kuwa mfumo wa afya unaodidimia na hatua ya wizara ya afya kukosa kuwatuma watakaohudumu madaktari wanagenzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive