Madaktari wanagenzi waendelea kukita kambi jumba la Afya Nairobi

  • | KBC Video
    26 views

    Katibu mkuu wa chama cha madaktari, wataalamu wa dawa na meno nchini, Dr. Davji Atellah amekiri kwamba hakuna mbinu zozote za kuwapeleka madaktari wanagenzi wanaogoma kwenye vituo mbalimbali vya afya. Haya yanajiri baada ya mkutano uliopangwa kufanywa na waziri wa afya Susan Nakhumicha kukosa kufanyika na hivyo kuzidisha malalamishi ya madaktari hao wanagenzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive