Madaktari wanagenzi watakiwa kufika kazini Jumatatu

  • | Citizen TV
    2,260 views

    Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei ameshikilia kuwa serikali haitatimiza ombi la madaktari wanagenzi la kuwalipa mshahara wa shilingi laki mbili kila mwezi. madaktari nao wanasema mgomo wao utaendelea licha ya tisho la serikali kuu na serikali za kaunti la kuwapiga kalamu