Madaktari wanaogoma kuchukuliwa hatua kali kuanzia Jumatano na serikali za kaunti na kitaifa

  • | K24 Video
    11 views

    Madaktari wanaogoma watachukuliwa hatua kali kuanzia Jumatano na serikali za kaunti na kitaifa, ikiwa ni pamoja na kutolipwa mishahara kwa kipindi ambacho huduma za afya hazijatolewa, na kuachishwa kazi. Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei amesema madaktari wamepuuza nia njema ya serikali, na hatua zilizopigwa katika kushughulikia masuala kumi na manane kati ya kumi na tisa waliyoibua.