Madaktari washinikiza serikali ishughulikie matkwa yao

  • | K24 Video
    55 views

    Baada ya saa tano, huduma katika hospitali zote nchini Kenya zitalemazwa, huku madaktari wakipanga kuanza mgomo wao wa kitaifa. hayo yametangazwa mapema leo na muungano wa madaktari KMPDU, kutokana na serikali kushindwa kuwapa kazi madaktari tarajali na kutekeleza makubaliano ya pamoja ya mwaka 2017.