Madaktari wataka magavana wathubutu kutekelza vitisho vyao

  • | K24 Video
    63 views

    Muungano wa madaktari KMPDU umewapa magavana changamoto ya kutekeleza vitisho vyao vya kuwafuta kazi madaktari wanaogoma, wakikashifu vitisho hivyo kama njia ya kujaribu kuwalazimisha kurudi kazini. Katika maandamano ya amani jijini Nairobi kwa siku ya 34 ya mgomo wa kitaifa, madaktari wamepinga hatua ya rais William Ruto ya kufutilia mbali mahitaji yao ya mtaji, wakisisitiza umuhimu wa matakwa yao kushughulikiwa.