Madalali wa mbolea ya bei nafuu ya serikali waripotiwa katika NCPB Bungoma.

  • | West TV
    61 views
    Imebainika kuwa wapo wafanyibiashara wanaonunua mbolea ya bei nafuu kutoka bohari la bodi ya nafaka na mazao ncpb mjini Bungoma na kuiuza kwa bei ya juu huku usimamizi wa bodi hiyo ukijitenga na wanaoendeleza biashara hiyo