Madarasa mapya yakamilishwa shule ya msingi ya GHM

  • | Citizen TV
    148 views

    Viwango vya elimu katika shule ya msingi ya HGM mjini Malindi kaunti ya Kilifi vinatarajiwa kuimarika zaidi baada ya mbunge wa Malindi Amina Mnyazi kufungua rasmi madarasa matano katika shule hiyo