- 201 viewsDuration: 2:59Huku maandalizi ya miundomsingi kwa wanafunzi wa gredi ya kumi yakiendelea kote nchini, wazazi katika eneo bunge la Funyula kaunti ya Busia wamehakikishiwa kuwa shule zote katika eneo bunge hilo zitakuwa na madarasa ya gredi ya kumi ifikapo mwezi wa Januari mwaka ujao.