Madarasa ya Shule ya Msingi ya Miskwony Yaharibiwa na Upepo

  • | KBC Video
    Wanafunzi hao wamelazimika kusoma chini ya miti baada ya paa la madarasa yao kuharibiwa na upepo mkali. Shule hiyo sasa inatoa wito kwa serikali kukarabati madarasa hayo ,huku wanafunzi sasa wakikabiliwa na wakati mgumu . Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #Elimu #UwitowaUsaidizi