Madereva wa bodaboda wahimizwa kufuata sheria za barabara ili kuwezesha usafari wakati wa Disemba

  • | NTV Video
    76 views

    Madereva wa bodaboda wanahimizwa kufuata sheria za barabara na kuhakikisha piki piki zao zina leseni ili kuwezesha usafari unaofaa wakati huu wa sherehe za mwezi wa disemba.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya