Madereva wa malori wanawake wanaoendesha kwenye barabara hatari zaidi za Mexico

  • | BBC Swahili
    348 views
    Chini ya 3% ya madereva wa malori duniani kote ni wanawake. Ingawa waajiri wanakubali kwamba wanawake ni madereva makini zaidi lakini huko Mexico, ambako unyanyasaji wa kijinsia na wizi wa kutumia silaha ni jambo la kawaida, imeonekana kuwa changamoto kuwavutia kwenye taaluma hiyo. Wanawake 100 wa BBC imeenda hadi katika baadhi ya barabara hatari nchini humo na kukutana na Clara Fragoso ambaye ameelezea hatari alizokutana nazo akiwa dereva wa lori. #bbcswahili #wanawake100wabbc #bbc100women2023 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw