Madereva wa malori ya uchukuzi katika kaunti ya Meru watisha kuongeza ada za kusafirisha mizigo

  • | KBC Video
    28 views

    Baadhi ya madereva wa malori ya uchukuzi katika timbo la Kaguma,kaunti ya Meru wametisha kuongeza ada za kusafirisha mizigo kufwatia kupunguzwa kwa uzani wa mizigo malori hayo yanakubaliwa kusafirisha kuambatana na kanuni za halmashauri ya ujenzi wa barabara kuu hapa nchini,KENHA.Wamiliki wa malori ya uchukuzi na wafanyakazi katika matimbo yam awe wamewasihi wateja wao kuwa wavumilivu,huku halmashauri ya KENHA ikiahidi kuweka maafisa wake katika vituo mbali mbali kutekeleza agizo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #dirayamagwiji #News