Madereva wa maroli Afrika Mashariki wanavyokabiliwa na changamoto za kiusalama

  • | VOA Swahili
    158 views
    Madereva wanaoendesha malori ya masafa marefu Afrika Mashariki wanakabiliwa na changamoto nyingi za kiusalama ikiwa ni pamoja na utekaji nyara katika mataifa yanayokabiliwa na vita vya wenyewe kwa wenywe. Ikizingatiwa kuwa mataifa hao yanategemea sana usafirishaji wa bidhaa kutoka bandani ya Mombasa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.