Madereva waliosafirisha mitihani wasema hawajalipwa

  • | Citizen TV
    1,056 views

    Madereva waliosafirisha mitihani ya kitaifa mwaka uliopita , wanasema bado hawajalipwa pesa zao. Madereva hao wakiwemo maafisa wa polisi wanasema jitihada zao za kuzungumza na wahusika zimegonga mwamba kwa miezi minane sasa, kila siku wakiambiwa wangoje. Chrispine Otieno ametangana na madereva hao mjini kisii na kuandaa taarifa ifuatayo.