Madereva Wamemaliza Zoezi La Kujifahamisha Na Barabara Katika WRC Safari Rally

  • | TV 47
    16 views

    Madereva Wamemaliza Zoezi La Kujifahamisha Na Barabara Katika WRC Safari Rally

    Zoezi la madereva kujifahamisha na barabara zitakazotumika katika mbio za magari za WRC Safari Rally lilikamilika hii leo Naivasha, Kaunti Ya Nakuru.

    Hapo kesho washiriki watashindana katika mbio ya shake-down, kabla ya mashindano haya kuanza rasmi siku ya alhamisi nje ya jumba la City Hall, Nairobi.

    #UpeoWaTV47 #UkumbiWaSiasa

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __