Madereva waonywa dhidi ya kubeba mizigo iliyozidi uzani

  • | Citizen TV
    796 views

    Madereva waonywa dhidi ya kubeba mizigo iliyozidi uzani Kamishna wa Trans Nzoia Sam Ojwang asema magari hayo yanaharibu barabara

    Magari yanayobeba mizigo yenye uzito wa zaidi ya tani kumi yameonywa #Sema2022