Madereva wapokea mafunzo ya usalama barabarani

  • | Citizen TV
    348 views

    Zaidi ya madereva 400 wa matatu za 2NK wamepata mafunzo maalum kuhusu usalama barabarani katika kikao kilichoandaliwa na kampumi ya bima ya Directline.