Madereva wawili wa trela wafariki baada ya ajali eneo la Mikayu, Bungoma

  • | Citizen TV
    2,138 views

    Maafa Ya Ajali Bungoma Madereva 2 Wa Trela Wafariki Baada Ya Ajali Mikayu Utingo Mmoja Pia Alifariki Kwenye Ajali Ya Alfajiri Mtu Mwingine Mmoja Pia Alipata Majeraha Ya Ajali