Madhabahu Ya Kamari: Wahubiri wageuza Injili kuwa Kamari

  • | NTV Video
    38,833 views

    Baadhi ya wahubiri wameingilia mchezo wa kamari, na sio tu kuingilia, wamekuwa matapeli wakubwa wakitumia kanisa na runinga wanazomiliki. Mwanahari Fred Muitiriri kwa miezi kadhaa amekuwa akichuguza ulaghai unaondelezwa kwenye televisheni kadhaa zinazomilikiwa na Nabii mmoja wa maarufu jijini Nairobi kwenye makala haya #MadhabahuYaKamari

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya