Madhara ya mafuriko: Maelfu ya watu walazimishwa kuhama katika mtaa wa Kiamaiko baada ya mvua kubwa

  • | TV 47
    59 views

    Wakenya wamezidi kuathiriwa na madhara ya mafuriko baada ya mvua kubwa inayoshuhudiwa kote nchini. katika eneo la kiamaiko, wakaazi wamelazimishwa kuhama nyumba zao baada ya makao yao kusombwa na maji. na kama vile mwanahabari wetu Kisewa Emory anavyotueleza, wakaazi hao hawajui wataenda wapi shule zitakapofunguliwa jumatatu licha ya naibu rais kusema kuwa shule sitini na nne hazitafunguliwa siku hiyo.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __