Madhara ya mafuriko Tana River

  • | Citizen TV
    1,180 views

    Huku mafuriko yakiendelea kuathiri maeneo Tofauti nchini, katıka eneo la Tana delta kambi zaidi zinaendelea kukumbwa na changamoto huku wakereketwa wa kutetea haki za watoto wakiendelea kutoa ufahamu kuhusu kulinda watoto wakati huu wa janga la mafuriko.