Madhara ya sukari nyingi kupita kiasi yaangaziwa

  • | KBC Video
    6 views

    Wakazi katika kaunti ya Meru wamehimizwa kuzingatia lishe bora ili kuepka maradhi ya meno ambayo yamekithiri katika eneo hilo. Kwa mujibu wa Peter Gaitho ambaye ni daktari wa meno katika hospitali ya kaunti ya Meru, vyakula vilivyo na sukari nyingi, ubugiaji vileo na uvutaji sigari vimechangia maradhi ya meno na kuwahimiza wananchi kujitokeza kwa uchunguzi wa mapema wa kimatibabu angalu mara mbili katika kipindi cha miezi sita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive