Madhila ya madereva wa masafa marefu

  • | Citizen TV
    1,951 views

    Zaidi ya madereva 80 wa masafa marefu wanadaiwa kuzuiliwa nchini Sudan kusini. Muungano wa madereva wa magari ya masafa marefu nchini sasa unatishia kulemaza usafirishaji wa shehena hadi taifa hilo kwa kile wanachodai ni kudorora Kwa usalama nchini humo. Baadhi ya madereva wamedaiwa kupoteza Maisha na wengine kutekwa nyara. Tuungane naye Francis Mtalaki ambaye anazungumza na baadhi ya madereva hao