Madhila ya Wafanyikazi Saudia

  • | Citizen TV
    717 views

    Baadhi ya wakenya walioelekea nchini Saudia arabia kufanya kazi za nyumbani wameelezea madhila waliyopitia kabla ya kuamua kurudi nyumbani. Baadhi yao wamedai kuteswa na waajiri wao, kufanya kazi kwenye mazingira magumu na hata kunyimwa mishahara.