Madiwani wa Isiolo walakiwa kishujaa waliorejea tangu kupitisha hoja ya kumng'atua Guyo

  • | NTV Video
    176 views

    Halaiki ya raia walifurika mjini Isiolo kuwalaki wawakilishi wadi wao kishujaa waliorejea mjini humo kwa mara ya kwanza kutoka hapa Nairobi tangu kupitisha hoja ya kumng'atua gavana wa Abdi Guyo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya