Maduka ya dawa za binadamu na mifugo kupigwa msasa

  • | Citizen TV
    182 views

    Kando na maagizo yaliyotolewa, wamiliki wa maduka ya dawa na ya vyakula na dawa za mifugo wametakiwa kuomba upya leseni katika siku thelathini zijazo. Serikali itaanzisha ukaguzi wa maduka hayo. maduka yanayouza dawa yatatakiwa kutoa cheti kwa wanunuzi iwapo dawa hizo ziliidhinishwa na daktari.