Maduka ya pombe karibu na makazi na shule kufungwa

  • | Citizen TV
    101 views

    Aidha leseni zote zilizotolewa na serikali za kaunti na ambazo ziko katika maeneo ya makaazi na karibu na shule zimebatilishwa. kufuatia hayo, maafisa wa usalama wa kaunti wametakiwa kufunga biashara hizo. wamiliki w amajumba ambayo yana vilabu na maduka ya kuuza vileo karibu na makazi na shule watachukuliwa hatua za kisheria.