- 1,654 viewsDuration: 2:37Maelfu ya wakazi wa mombasa wameungana na wenzao kumuomboleza marehemu Raila Odinga kwa siku ya pili. Wakiwasha mishumaa na kuandamana kwa amani, wakaazi hawa walimtaja Raila kama mwana mageuzi. Nalo baraza la wazee wa jamii ya waluo kutoka Pwani likikongamana na kutangaza kuwa litatuma wawakilishi maalum kuhudhuria mazishi yake huko Bondo