- 6,134 viewsDuration: 2:07Maelfu ya raia wa Israeli walikusanyika kuadhimisha ukumbusho wa miaka miwili tangu shambulizi la Hamas katika eneo la Gaza. Mapigano kwenye ukanda huo yamesababisha vifo vya wakazi 1,200 katika kipindi cha miaka miwili. Haya ni huku Israel ikiendeleza mashambulizi dhidi Hamas, huku mazungumzo ya kuleta amani yakiendeleanchini Misri