Maelfu waandamana kupinga utalii Barcelona

  • | BBC Swahili
    709 views
    Maelfu ya watu huko Barcelona wamekuwa wakiandamana kupinga utalii uliokithiri katika mji huo. Video zilizorekodiwa katika jiji la Uhispania mwishoni mwa juma zinaonesha wageni katika maeneo maarufu ya watalii wakirushiwa maji na waandamanaji huku wakiimba "watalii warudi makwao". #bbcswahili #uhispania #utalii Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw