- 4,130 viewsDuration: 2:42Maelfu ya wakazi walimiminika barabarani katika kaunti za Kisumu, Migori na Homa Bay, kumuomboleza aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga. Wakazi hao walielezea hofu ya kukosa kiongozi atakayeunganisha ukanda wa Nyanza kisiasa, na kupigania haki za kibinadamu