- 2,794 viewsDuration: 2:35Haya yakijiri, zaidi ya familia elfu tatu katika wadi ya Kapomboi, eneo bunge la Kwanza, kaunti ya Trans Nzoia, zimeachwa bila makao baada ya Mto Sabwani kuvunja kingo zake kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha eneo hilo. Mafuriko hayo yakiathiri nyumba na mashamba huku juhudi za kutoa misaa ya kibinaadam zikiendelea kuhamisha wakaazi kwenye maeneo salama.