- 14,560 viewsDuration: 4:22Wakenya walimiminika Nyumbani kwa marehemu kinara wa ODM Raila ODinga katika eneo la Kerarapon mtaani Karen baada ya Taarifu za kifo chake kusambaa. Maelfu ya Wakenya walipiga Kambi Nyumbani kwake kumuomboleza Raila huku wengi wakisea wamepoteza mwanga katika uongozi wa nchi na Kiongozi ambaye alitegemewa na Wengi. Viongozi mbali mbali pia walifika kuomboleza na Jamii ya Odinga