Maelfu ya paspoti zatolewa kwa wakenya

  • | Citizen TV
    446 views

    Zoezi la utoaji paspoti katika idara ya uhamiaji inaanza huku maelfu ya pasi hizi zikitolewa kwa wakenya, siku chache baada ya Waziri wa Usalama Kithure Kindiki kutangaza kuwa msongamano wa stakabadhi hizi uliokuwepo umekamilika. Paspoti hizi zinatolewa katika kaunti mbalimbali.