Maelfu ya wakaazi wa Mukuru kwa Reuben wasalia bila umeme

  • | Citizen TV
    1,240 views

    Maelfu ya wakazi wa mtaa wa Mukuru kwa Reuben hapa Nairobi wamesalia gizani tangu siku ya Jumatatu baada ya maafisa wa umeme kufanya operesheni ya kukata umeme uliounganishwa kinyume cha sheria. Maafisa wa Kenya Power ambao walikuwa wameandamana na maafisa wa polisi waling’oa transfoma tisa katika eneo hilo katika operesheni ambayo kampuni hiyo inasema ni ya kukabiliana na wizi wa umeme