- 1,593 viewsDuration: 2:46Maelfu ya waombolezaji kutoka Kisumu na kaunti jirani walimiminika katika uwanja wa Jomo Kenyatta huko Mamboleo, ili kumpa mkono wa buriani aliyekuwa waziri mkuu hayati Raila Odinga. Baadhi yao walilemewa na majonzi, wengine wakiamua kumkumbuka na kumuaga Raila Odinga kwa nyimbo za kishujaa.