- 18,166 viewsDuration: 5:35Maelfu ya waombolezaji walikusanyika katika uwanja wa Nyayo hapa jijini Nairobi kutoa heshima zao za mwisho kwa hayati Raila Odinga. Wengi wao walirauka asubuhi kutoka maeneo tofauti tofauti na kujumuika kwa ibada ya mazishi ya kitaifa.