Skip to main content
Skip to main content

Maelfu ya waombolezaji washabikia mahubiri ya askofu wa kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Bondo

  • | Citizen TV
    3,964 views
    Duration: 3:51
    Maelfu ya waombolezaji waliohudhuria ibada ya mazishi ya aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga katika uwanja wa Nyayo walishabikia mahubiri ya askofu wa kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Bondo, David Kodia. Katika mahubiri hayo Askofu Kodia alikashifu viongozi wanaotumia mamlaka yao kujifaidisha kupitia ufisadi. Askofu akisema wahusika wa ufisadi na wanyanyasaji kupitia uongozi mbovu serikalini hawafai kwa sababu ya kukosa kuwajibikia raia kulingana na katiba.